Home Mchanganyiko DK.SHEIN AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA IKULU LEO

DK.SHEIN AMEWAAPISHA WAKUU WA MIKOA IKULU LEO

0

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar Othman Makungu (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi(Gavu) na Naibu Waziri Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa n a Idara Maalum za SMZ Shamata Shaame Khamis,(kulia) wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa Mikoa Kusini na Mjini Magharibi leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/09/2019.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja hafla  leo katika    ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla  Ayoub alikuwa Mkku wa Mkoa wa mjini Magharibi,[Picha na Ikulu]. 19/09/2019. 

Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Viongozi ambao ni Wkuu wa Mikoa naRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu]. 19/09/2019.