Home Mchanganyiko ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU NGERENGERE MOROGORO

ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU NGERENGERE MOROGORO

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,  akikagua darasa, kwenye shule ya sekondari ya Ngerengere, Septemba 18.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,  akimsikiliza Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ngerengere Petro Tumai, wakati akikagua darasa, kwenye shule hiyo, Septemba 18.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu