Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akisikiliza maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji kutoka kwa Mhandisi David Pallangyo (kulia), wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi huo leo, jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akikagua Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi huo leo, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza baada ya Ukaguzi wa Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi huo leo, jijini Dodoma.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Ramadhani Kailima.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akitoka kukagua Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi huo leo, jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akisalimiana na Wahandisi wa Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi huo leo, jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi