Home Mchanganyiko KATIBU WA BUNGE NDG. STEPHEN KAGAIGAI AKUTANA NA KATIBU MKUU MSTAAFU OFISI...

KATIBU WA BUNGE NDG. STEPHEN KAGAIGAI AKUTANA NA KATIBU MKUU MSTAAFU OFISI YA WAZIRI MKUU OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA

0

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kushoto) akisalimiana na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) ), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kulia) akizungumza na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) ), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kushoto) katika picha ya pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea leo Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (Kushoto) akiagana na aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge na Waziri Mkuu) ), Ndg. Maimuna Tarishi alipomtembelea Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga na Kumshukuru kwa ushirikiano aliompatia kwa kipindi chote alichokuwa anafanya kazi na Bunge tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)