Home Mchanganyiko NABII NA MTUME MWINGIRA AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE

NABII NA MTUME MWINGIRA AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE

0

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha pamoja na ujumbe aliombatana nao. Kushoto kwa Mchungaji Mwingira ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Efatha Dodoma Bi. Frida Nyiti na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ibada-Bunge Chapel Mhe. Anna Lupembe (Mb).

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha Ofisi kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisali   na Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha pamoja na ujumbe aliombatana nao walipomtembelea Ofisi kwake. Wengine katika picha ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Efatha Dodoma Bi. Frida Nyiti, Mwenyekiti wa Kamati ya Ibada-Bunge Chapel Mhe. Anna Lupembe (Mb), Mzee wa Kanisa la Efatha  Winifrida Rutaindurwa na Msaidizi wa Mchungaji Mwingira Bw. Davis Ngowi.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiagana  Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha mara baada ya kuzungumza naye Ofisi kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na  Nabii na Mtume Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha mara baada ya kuzungumza naye Ofisi kwake Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE