Home Mchanganyiko BENKI YA MKOMBOZI YATOA MSAADA KWA WAHITAJI

BENKI YA MKOMBOZI YATOA MSAADA KWA WAHITAJI

0
 Mkurugenzi wa Hazina wa Benki ya Biashara ya Mkombozi,  Nwaka Mwabulambo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati alipomtembelea Bw,Salim Rashid mkazi wa Tuangoma Jijini Dar es Salaam anayesumbuliwa na ungonjwa wa saratani ya ulimi na kutoa mchango wa sh. miloni moja kwaajili ya matibabu pia nakumfungulia akaunti ya pamoja (Joint Akauti) kulia ni Fatuma Rashid mke wa Salim Rashid,Meneja Mikopo wa Benki hiyo Bw. Andrew Chimazi.

 Bi-Fatuma Rashid (katikati) akiushukuru uongozi wa benki
 hiyo kwa mchango
wao walioutoa (kulia)
Meneja wa Benki ya Biashara ya Mkombozi, Tawi la Kariakoo, Bonphace Mahenge, na Mkurugenzi wa Hazina wa benki hiyo ,  Nwaka Mwabulambo.
 Meneja wa Benki ya Biashara ya Mkombozi, Tawi la Kariakoo, Bonphace Mahenge (kushoto), akimshuhudia, Fatuma Rashid mke wa Salim Rashid (katikati) akijaza fomu kwa alama ya kidole kufungua akaunti ya pamoja (Joint Akaunt) kwa ajili ya michango ya kumsaidia.Uongozi wa benki hiyo ulimtembelea, Salim Rashid mkazi wa Tuangoma Jijini Dar es Salaam anayesumbuliwa na ungonjwa wa saratani ya ulimi baada ya kuona matangazo kwenye vyombo vya habari.

Normal
0

false
false
false

EN-US
X-NONE
X-NONE

/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-qformat:yes;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;
mso-para-margin-top:0in;
mso-para-margin-right:0in;
mso-para-margin-bottom:10.0pt;
mso-para-margin-left:0in;
line-height:115%;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:11.0pt;
font-family:”Calibri”,”sans-serif”;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-fareast-font-family:”Times New Roman”;
mso-fareast-theme-font:minor-fareast;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}

 Bi-Fatuma Rashid akiwa na mume wake Bw.Salim Rashid ayesumbuliwa na ungonjwa wa saratani ya ulimi.
 Uongozi wa benki hiyo ukishauriana jambo ulipomtembelea Bw.
Salim Rashid mkazi wa Tuangoma Jijini Dar es Salaam anayesumbuliwa na ungonjwa wa saratani ya ulimi.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
 ………………………………………………..
BENKI ya Biashara ya
Mkombozi  imeahidi kuendelea kushiriki  shughuli mbalimbali za kijamii kwa kuchangia
watui wenye mahitaji maalumu.
Hatua hiyo imefikiwa  baada ya uongozi wa benki hiyo kutoa msaada
kwa  familia ya Salim Rashid mkazi wa Tuangoma
Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa
habari Dar es Salaam mara baada ya kutembelea familia hiyo Nwaka
Mwabulambo Mkurugenzi wa Hazina wa Benki hiyo alisema kuwa  katika kuelekea miaka kumi ya benki hiyo bebki
imeamua kushiriki na familia hiyo kwa kutoa maada wa kuwafungulia akaunti ili
jamii iweze kuwasaidia.
Alisema baada ya kupata taarifa
kutoka katika vyombo mbalimbali kuhusu uhitaji wa Rashid ambaye anasumbuliwa na
saratani  uongozi wa benki uliamua kushiriki
kwa vitendo kwa  kuisadia familia hiyo
kwa kutoa mchango wa sh. miloni moja sambamba na kufungua akaunti ya pamoja ili
kuirahisishia familia hiyo kwenye zoezi la ukusanyaji wa fedha za msaada kutoka
kwa jamii.
“Kama tunavyofahamu simu za
mkononi zina ukomo wa utoaji fedha hivyo benki kwa kuliona hilo  tumeamua kuirahisishia jamii kazi hii kwa
kufungua akaunti ya pamoja (Joint Akauti) ambayo itawezesha jamii na taasisi
mbalimbali kuchangia kiasi chochote cha fedha ili  kuirahisishia
familia hii  iweze kupata msaada
wa fedha za matibabu,”alisema Mwabulambo
Alisema kwa kutambua umuhimu wa
kushiriki shughuli za kijamii benki itaendelea kushirikiana na wadau wengine
kuchangia shughukli mbalimbali za kijamii kama njia ya kutoa shukrani kwa kile
wanachokipata kutoka kwa wateja wao ambao ndiyo wadau
Aidha aliongeza kuwa tayari
uongozi wa benki umewashawishi watumishi wake kuona umuhimu wa kuchangia
matibabu ya Rashidi huku ikiwataka  watanzania wengine kuona umuhimu wa kutoa
michango kwa familia hii na zinmgine zenye mahitaji .
Aliitaja akaunti namba ambayo
watanzania wanaweza kutoa michango yao kwa familia hiyo kuwa ni  00420111912801 na kusema kuwa kufanya hivyo  kutarahisisha matibabu ya Rashid ambaye tayari
alishaanza matibabu hapa  nchini na nje
ya nchi.
Kwa upande wake Fatuma Rashid
mke wa Salim Rashid   aliushukuru uongozi wa benki hiyo kwa mchango
wao na kuwaomba kuendelea kuwa nao bega kwa bega katika kufanikisha matibabu
zaidi ya Rashid.
“Nashukuru Benki ya Ukombozi kwa
kuliona tatizo la mume wangu na kulichukulia uzito kwa kuchangia kiasdi hicho
cha fedha sambamba na kufungua akaunti, hii imetupa moyo kuwa jamii ipo pamoja
nasi,”alisema Fatuma.
 kufungua akauti kwa familia hiyo ili kuwezesha
jamii kuweza kushiriki kucahngia gharama za matibabu.
“Kama Benki tumeitembelea
familia hii ya Rashid ili  kuifariji na
tumeshaifungulia akaunti ya pamoja itakayowezesha jamii kutoa michango yao ya
hali na mali ili kuwezesha matibabu ya Salim ambaye anasumbuliwa na
saratani,”alisema na kuongeza kuwa hii pia itasaidia taasisi mbalimbali kuweza
kuchangia zaidi matibanu hayo.
Hata hivyo aliwaomba watanazia
wote wenye mapenzi mema kuwa karibu na familia hiyo ili kuwezesha matibabu
yaanyike na kuimarisha afya ya mume wake.