Home Mchanganyiko MATUKIO MKUTANO WA LATRA NA WADAU WAKE JIJINI ARUSHA UKIENDELEA

MATUKIO MKUTANO WA LATRA NA WADAU WAKE JIJINI ARUSHA UKIENDELEA

0

kaimu katibu mkuu wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi Haron kisaka akiongea na wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini inayosimamiwa na Latra kwenye ukumbi wa mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa Picha na Ahmed Mahmoud Arusha.

Meza kuu  wakimsikiliza Mkurugenzi wa huduma za uchukuzi na usafirishaji wizara ya Ujenzi mawasiliano na uchukuzi Haron Kisaka wakati akifungua mkutano wa wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini inayosimamiwa na Latra kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa picha na Ahmed Mahmoud Arusha

sehemu ya wadau wa huduma za usafirishaji kanda ya kaskazini inayosimamiwa na Latra wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano wao na Latra kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha Leo jijini hapa picha na Ahmed Mahmoud Arusha