Home Mchanganyiko UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WAZEE,WANAWAKE NA WATOTO

UONGOZI WA WIZARA YA KAZI,UWEZESHAJI,WAZEE,WANAWAKE NA WATOTO

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto   katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 23/08/2019.

Mshauri wa  Rais Pemba Mhe.Bi Mauwa Abeid Daftari (kushoto)  akichangia  wakati wa  mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto  uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Shadiya Mohammed Suleiman(kulia)  [Picha na Ikulu.] 23/08/2019.

Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (katikati) akichangia  wakati wa  mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai  2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto  uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akiwepo na  Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Shadiya Mohammed Suleiman, [Picha na Ikulu.] 23/08/2019.