Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akiongea na wananchi wa kitongoji cha kisusa kilichopo katika kijiji cha Ukami wakati akiwaeleza lengo la kujenga kituo cha afya cha kata ya Mapanda
Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akiongea na wananchi wa kitongoji cha Mtwivila kilichopo katika kijiji cha Ukami wakati akiwaeleza lengo la kujenga kituo cha afya cha kata ya Mapanda
Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akiongea na wananchi wa kijiji cha Chogo wakati akiwaeleza lengo la kujenga kituo cha afya cha kata ya Mapanda
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Kaskazini imeanza kuzaa matunda baada ya kuamua kuanza kujenga kituo cha afya
cha kata ya Mapanda ambacho kitakuwa msaada mkubwa katika kuboresha sekta ya
afya.
hadhara ya vijiji vya Mapanda,Chogo,Ukami,Uhafiwa,
Ihimbo pamoja na vitongoji vya Mtwivila na Kisusa mbunge wa jimbo la Mufindi
Kaskazini Mahmoud Mgimwa alisema kuwa imefika wakati wa kuhakikisha wanapata
kituo cha afya ili kuboresha huduma za afya katika kata hiyo.
kitajengwa hapa kwa mchango wangu kama mbunge,mchango wa serikali pamoja na
nguvu zenu wananchi kwa pamoja tutaweza kufanikisha swala hili na mimi kama
mbunge sipo tayari kuona kituo hiki hakijengwi” alisema Mgimwa
ujenzi wa kituo hiki cha afya cha kata atachangia mifuko mia mbili ya saruji
kwa awamu hiyo ya kwanza kama kuwaunga mkono ila ataendelea kuchangia katika
ujenzi wa kituo hicho cha afya.
mifuko hiyo ya saruji ila nitawatafuta wadau wengine kuhakikisha wanatuchangia
ili kupunguza mzigo wa michango kwenu wananchi ambao ndio mmeniweka madarakani
hadi hii leo” alisema Mgimwa
atahakikisha wawekezaji wote ambao wanaizunguka kata ya Mapanda wanachangia
shughuli za maendeleo kwa kuwa wamekuwa wakitajilika kutumia ardhi iliyopo
katika kata hiyo.
wakianza ujenzi wa kituo hicho cha afya atahakikisha waziri wa TAMISEMI
Salemani Jafo anafika katika eneo la ujenzi na kutoa mchango wa serikali kwa
kuwa serikali huwa inachangia pale ambapo wananchi wameanza kufanya maendeleo.
kufanya mkutano wa hadhara hapa katika eneo hili ambalo kituo cha afya
kitajengwa hicho wananchi lazima muanze ujenzi wa kituo hiki” alisema Mgimwa
waliohudhuria mikutano hiyo walisema kuwa wapo tayari kuchangia ujenzi wa kituo
hicho cha afya ili kuboresha sekta afya ambapo wamekuwa wakiteseka kwa kusafiri
umbali mrefu kufuata huduma hiyo



