Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la Kikosi cha Polisi cha FFU mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni kuhudhuria katika Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kuwahutubia wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika leo katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
Baadhi ya Viongozi pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika leo katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama samia Suluhu Hassan pamoja Viongozi wengine wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika leo katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu.]