Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa katika shamba la familia ya marehemu mzee Mwenda kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mingi katika kijiji cha Nduli kata ya Nduli manispaa ya Iringa.

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa katika shamba la familia ya marehemu mzee Mwenda kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka mingi katika kijiji cha Nduli kata ya Nduli manispaa ya Iringa na akiwa amezungukwa na wanafamilia pamoja na mashahidi waliohudhuria kutatua mgogoro huo.
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amefanikiwa kutatua
mgogoro wa familia ya mzee Mwenda iliyopo katika kata ya Nduli uliodumu kwa
miaka mingi kutokana na kaka yao Ayubu Mwenda kwenda tofauti na wanafamilia
wengine.

Akizungumza kwenye shamba la familia marehemu mzee Mwenda
Kasesela alisema kuwa kaka yao Ayubu Mwenda na wanafamilia wote kwa pamoja
wamekaa na kufikia makubariano ya kugawana sawa ardhi ambayo ipo katika kijiji
cha Nduli kata ya Nduli.

“Kwa leo nimefalijika kuona familia hii imeamua kumaliza mgogoro
huu ambao ulikuwa hauna afya katika harakati za kuleta maendeleo kwa wananchi
hawa kwa kuwa walikuwa wanapoteza muda mwingi kupigania mgogoro huu” alisema
Kasesela

Kasesela alisema kuwa familia hiyo inagombea hekali mia moja na
hasini na tisa (159) ambazo waliachiwa na marehemu mzee wao mzee Mwenda na
kusema kuwa Ayubu ambaye ndiye kaka yao mkubwa amekuwa kisababishi cha mgogoro
huo.

Aidha Kasesela alimtaka afisa mtendaji na afisa tarafa
kuhakikisha shamba hilo linagawawiwa kwa wake wote sita wa mzee Mwenda ili
kuondo na kumaliza mgogoro huo kwa kugawa kwa usawa na haki ili kila mmoja
apate haki yake.

“Mzee Mwenda alikuwa na wake sita hivyo shamba hilo litagawiwa
kwa kufuata familia za akina mama wote kwa haki ili kumaliza hili tatizo na
hakuna mtu mwingine ataleta mgogoro kwa kuwa nitalipeleka shauri hili
mahakamani kuweka zuio la kuanzisha kesi yeyoyte ile katika shamba hilo”
alisema Kasesela

Kwa upande wake msimamizi wa mirathi hiyo Sadiki Abdalah Mwenda
alimshukuru mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela kwa kuasidia kutatua
mgogoro huo ambao umedumu kwa miaka mingi bila kupata ufumbuzi wa mgogoro huo.

Naye askari mstaafu Hawa Mwenda ambaye ni mwanafamilia alimshukuru
mkuu wa wilaya na kumuomba awafikishie salaam kwa Rais Dr John Pombe Magufuli
kwa kuongoza vizuri na kufanikisha wananchi wanyonge wafikiwe kirahisi na
kutatuliwa matatizo yao.