Home Mchanganyiko WAGENI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KWENYE MAONESHO YA NANENANE

WAGENI MBALIMBALI WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KWENYE MAONESHO YA NANENANE

0

Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Modern ya Jijini Dodoma wakifurahia Siwa wakati wapotembelea banda la Bunge kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane Jijini Dodoma hii leo . (Picha na Ofisi ya Bunge)

Afisa wa Bunge Ndg. Hoseana John akitoa Elimu kwa mgeni aliyetembelea banda la Bunge hii leo kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge).

Afisa wa Bunge Ndg. Mohamed Salim akitoa Elimu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dodoma waliotembelea banda la Bunge kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)