Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA NNE YA VIWANDA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA NNE YA VIWANDA YA SADC JIJINI DAR ES SALAAM.

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkurugenzi wa Bishara ya Shirika la Air Tanzania Ndg. Patrick .W.Ndekama, alipokuywac akitembeleav banda la maonesho la Air Tanzania katika viwanja vya Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati wa ufungaji wa maonesho hayo(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa TRC Bi. Jamila Mbarouk alipotembelea banda la maonesho katika viwanja vya Kulius Nyerere Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu).

/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa wa ZSTC Ndg. Issa Hamad Ramadhani alipotembelea maonesho ya Wiki ya Nne ya Viwanda ya SADC Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na SADC WAakiwa wamesimama wakati ukipigwa Wimbo.(Picha na Ikulu)

KATIBU Mkuu wa SADC Mhe. Dr.Stergomena Tax, wakati wa ufungajin wa Maonesho ya Nne ya Wiki ya Maonesho ya Viwanda ya SADC leo Jijini Dar es Salaam.yaliofanyika katika ukumbi wa Juluis Nyerere.(Picha na Ikulu

KAIMU Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe akizungumza wakati wa mkutano wa Ufungaji wa Wiki ya Nne ya Maonesho ya Viwanda ya SADC Jijini Dares Salaam.(Picha na Ikulu)