Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA ZOEZI LA USAJILI NGOs KANDA YA KASKAZINI MKOANI KILIMANJARO

MATUKIO KATIKA PICHA ZOEZI LA USAJILI NGOs KANDA YA KASKAZINI MKOANI KILIMANJARO

0

Msajili na Mkurugenzi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi. Vickness Mayao (kulia) akifafanua jambo kwa mdau wa NGO aliyefika kuhuisha usajili wa Shirika lake kwa Kanda ya Kaskazini katika zoezi la usajili linaofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ulioanza tarehe 29/07 hadi tarehe 06/08/2019.

Mwanasheria kutoka Wizara  ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Faki Shaweji(kulia) akitoa ufafanuzi wa kisheria kwa wadau wa NGO aliyefika kuhuisha usajili wa Shirika lake kwa Kanda ya Kaskazini  katika zoezi la usajili linaofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ulioanza tarehe 29/07 hadi tarehe 06/08/2019.

Mwanasheria kutoka Wizara  ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Idda Kombe (kushoto) akitoa ufafanuzi wa kisheria kwa wadau wa NGO aliyefika kuhuisha usajili wa Shirika lake kwa Kanda ya Kaskazini katika zoezi la usajili linaofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro mpaka ulioanza tarehe 29/07 hadi tarehe 06/08/2019.

Afisa Maendeleo ya Jamii Mkuu kutoka Wizara  ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Timoth Mgonja (kulia) akitoa huduma ya usajili kwa wadau wa NGO aliyefika kuhuisha usajili wa Shirika lake kwa Kanda ya Kaskazini unaofanyika katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ulioanza tarehe 29/07 hadi tarehe 06/08/2019.

Maafisa kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO wakitoa huduma katika zoezi la kuhuisha usajili wa Shirika lake kwa Kanda ya Kaskazini  katika zoezi la usajili linaofanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ulioanza tarehe 29/07 hadi tarehe 06/08/2019.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW