Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA 7 YA USAJILI WA NGO’s KANDA YA...

MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA 7 YA USAJILI WA NGO’s KANDA YA MASHARIKI

0

Mkurugenzi Msaidizi kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO’s Bi.Grace Mbwilo (kulia) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine na yanayojisajili kwa mara ya kwanza katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki wa pili kulia Msajili na Mkurugenzi wa Idara ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi. Vickness Mayao.

MkurugenziMsaidizi kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO’s Bw. Baraka Leonard (kushoto) akitoa huduma kwa mdau ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine na yanayojisajili kwa mara ya kwanza katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki

Mwanasheria kutoka Ofisi ya Msajili wa NGO’s Bw. Faki Shewaji (kulia) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa mmoja wa mdau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine na yanayojisajili kwa mara ya kwanza  katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki.

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Victor Rugalabamu (kulia) akitoa huduma ya kusajili Taasisi chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na. 3/2019 kwa wadau kutoka Taasisi na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ambayo awali yalisajiliwa chini ya Sheria nyingine na yanayojisajili kwa mara ya kwanza  katika zoezi linaloendelea kufanyika kwenye Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa Kanda ya Mashariki.