Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Kigoma Vijijini, Peter Serukamba wakati aliopowasili kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma kuzungumza na Viongozi wa CCM kutoka wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini, Juni 14, 2019. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako.
Baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Mbunge wa Kigoma Vijijini, Peter Serukamba wakati aliopowasili kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma kuzungumza na Viongozi wa CCM kutoka wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini, Juni 14, 2019. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako.Baadhi ya viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa CCM wa wilaya za Kigoma Mjini na Kigoma Vijijini kwenye ukumbi wa NSSF mjini Kigoma, Julai 14, 2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Nzamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)