Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack (katikati), baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.Masauni amewasili mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Terack baada ya kuwasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Nicodemus Tambo akifungua mkutano huo.jijini Arusha.Rais wa chama hicho,Henry Ngogo, akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano huo.Mjumbe wa…
Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza juhudi za Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, katika kusimamia utekelezaji…