Home Mchanganyiko Mhe.Asha Abdalla akabidhi vifaa vya kazi vyenye thamani ya Shilingi Milioni 1.5...

Mhe.Asha Abdalla akabidhi vifaa vya kazi vyenye thamani ya Shilingi Milioni 1.5 kwa Katibu wa UWT Wilaya ya Amani

0

WAJUMBE wa Baraza la UWT Wilaya ya Amani wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Mgeni rasmi ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma katika ufunguzi wa Kikao hicho.

MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma pamoja na Katibu wa UWT Wilaya ya Amani Ndugu Asha Mzee wakiwa wamebeba Komputa na Printer zenye Thamani ya Shilingi Milioni 1.5 zilizotolewa na Mbunge huyo.

MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma (kushoto),akikabidhi Vitendea kazi kwa Katibu wa UWT Wilaya ya Amani Ndugu Asha Mzee ambavyo ni Komputa Moja na Printer Moja ya kisasa ya rangi vyenye thamani ya shilingi Milioni 1.5 Katibu wa UWT Wilaya ya Amani Ndugu Asha Mzee(kushoto).

KATIBU wa CCM Wilaya ya Amani Ali Salum Suleiman akitoa shukrani kwa Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Mjini Mhe.Asha Abdalla Juma na kuahidi kuwa miongozo aliyotoa kupitia hotuba yake itafanyiwa kazi kwa Vitendo.