Home Mchanganyiko BUNGE LA TANZANIA LAPATA MSAADA WA LAPTOPS KUTOKA BUNGE LA CHINA

BUNGE LA TANZANIA LAPATA MSAADA WA LAPTOPS KUTOKA BUNGE LA CHINA

0

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), akimsikiliza Balozi wa China Nchini Tanzania Mheshimiwa Wang Ke wakati wa makabidhiano ya msaada wa kompyuta (Laptops)70 kutoka Bunge la China. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), akipokea msaada wa kompyuta (Laptops) 70 kutoka kwa Balozi wa China Nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang Ke, makabidhiano yalifanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson. Msaada huo wa Kompyuta 70 (laptops) umetolewa na Bunge la China kwa Wabunge wa Bunge la Tanzania.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb), akipokea msaada wa kompyuta (Laptops) 70 kutoka kwa Balozi wa China Nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang Ke, makabidhiano yalifanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Msaada huo wa Kompyuta 70 (laptops) umetolewa na Bunge la China kwa Wabunge wa Bunge la Tanzania.

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (Mb) na Balozi wa China Nchini Tanzania,
Mheshimiwa Wang Ke, wakisaini mkataba wa makabidhiano ya msaada wa kompyuta
(Laptops) 70 makabidhiano yalifanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma na
kushuhudiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge.
Msaada huo wa Kompyuta 70 (laptops) umetolewa na Bunge la China kwa Wabunge wa
Bunge la Tanzania.