Mkurugenzi Msaidizi Utawala wa Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Edith Simtengu (mwenye kofia) akiongoza watumishi wa Wizara hiyo kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakifanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2019.
*Awataka watendaji kuacha mazoea katika utekelezaji wa majukumu. WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka watendaji wa Wizara ya Maji pamoja na Wakuu wa Mikoa…
Maisha yetu yalibadilika ghafla pale ndugu yangu alipoanza kubadilika tabia. Alikuwa mtu mchangamfu, mwenye ndoto na malengo, lakini polepole akaanza kujitenga, kupoteza mwelekeo, na…