KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa
akifungua Jukwaa la tatu la Ushirika Mkoa huo 2019 lililoshirikisha
wadau kutoka wilaya zote za mkoa huo lililokwenda sambamba na kauli mbiu
ya Ushirika kwa kazi wenye Staha”

Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Tanga Benedict
Njau akizungumza wakati wa akifungua Jukwaa la tatu la Ushirika Mkoa huo
2019 lililoshirikisha
wadau kutoka wilaya zote za mkoa huo lililokwenda sambamba na kauli mbiu
ya Ushirika kwa kazi wenye Staha”
Njau akizungumza wakati wa akifungua Jukwaa la tatu la Ushirika Mkoa huo
2019 lililoshirikisha
wadau kutoka wilaya zote za mkoa huo lililokwenda sambamba na kauli mbiu
ya Ushirika kwa kazi wenye Staha”
Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Tanga Jacqueline Senzighe akizungumza wakati wa Jukwaa hilo
Mwenyekiti wa Jukwaa la Ushirika Mkoa wa Tanga Mashi Sopah akizungumza wakati wa Jukwaa hilo
MKUU wa Idara ya Ugani na Huduma za Jamii Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha
Ushirika (MoCU) Paulo Anania Fute akiwasilisha mada ya Elimu ya
Ushirika ,Ukaguzi na Usimamizi wakati wa Jukwaa hilo

Mhadhiri Msaidizi wa Chuo cha Ushirika Moshi ofisi ya Mkoa wa Tanga Abel Ngowi akizungumza wakati wa Jukwaa hilo
Sehemu ya washiriki wa Jukwaa hilo
MENEJA wa Bodi ya Korosho kulia akiwa kwenye Jukwaa hilo
Sehemu ya wadau mbalimbali wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi kwenye Jukwaa hilo
KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias Mwilapwa ambaye pia ni Mkuu wa
wilaya ya Tanga katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala
Msaidizi Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Tanga Benedict Njau kulia na
Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Tanga Jacqueline Senzighe
mara baada ya kufungua Jukwaa hilo

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Tanga Thobias Mwilapwa amekemea vikali vitendo
vya baadhi ya viongozi vyama vya ushirika wanaofanya ubadhirifu huku
akitaka wachukulia hatua kali ikiwemo kuwaondoa kwenye nafasi zao maana
wanaweza kuwaharibia.

Mwalapwa ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga aliyasema hayo leo wakati akifungua Jukwaa la tatu la Ushirika
Mkoa huo 2019 lililoshirikisha wadau kutoka wilaya zote za mkoa huo
lililokwenda sambamba na kauli mbiu ya Ushirika kwa kazi wenye Staha”

Alisema
kwamba bila kufanya hivyo viongozi wa namna hiyo wanaweza kuwa kikwazo
kikubwa cha vyama hivyo kushindwa kufikia malengo yao waliojiwekea hivyo
ni vema wakakaa pembeni ili kutua fursa kwa wengine ambao
wanaviendeshwa kwa tija na manufaa makubwa.

“Lipo tatizo kubwa
ambalo lipo kwa baadhi ya viongozi ushirika kufanya ubadhirifu kwenye
vyama vya ushirika hawa tusiwafumbie macho lazima tuchukue hatua za
kuwadhibiti ikiwemo kuwaondoa kwenye nafasi maana wanataka
kutuharibia”Alisema Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa.

Aidha pia aligusia
tatizo sugu la ukopaji kwenye vyama hivyo huku aliwataka wanaonufaika na
mikopo mbalimbali wahakikishe wanairudisha kwa wakati ili ili uweze
kutumika kuwasaidia wengine

Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa alisema
wanataka ushirika uleta manufaa zaidi kwa kuwasaidia wanachama,jamii na
Taifa ili yafikwe malengo makubwa ya kuweza kupata maendeleo na kuweza
kujikwamua kiuchumi.

“Lakini hayo yote yaweze kufikiwa lazima
mambo yaenda kwa mujibu wa sheria na taratibu …pia nitumie jukwaa
hili kukemea tabia za baadhi ya viongozi wa wabadhirufu kwenye vyama vya
ushirika tuchukue hatua za kuwadhibiti ikiwemo kuwaondoa kwenye nafasi
maana wanataka kutuharibia”Alisema

Alieleza pia kwamba ikiwa
watu wamekopa fedha na wanashindwa kuzirudisha na kupelekea kuwa mkopaji
sugu maana yake anawazuia wenzake wengi fursa ya kunufaika na mkopo
huo.

Hata hivyo alitoa wito kwa vyama hivyo kuhakikisha mali za
ushirika huo zinatambuliwa na zirasimishwe ili kuweza kuleta tija na
kuchochea shughuli za kimaendeleo.

Awali akizungumza katika
Jukwaa hilo Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Tanga
Jacqueline Senzighe alisema vyama vya ushirika vimezidi kuongezeka na
kufikia 421 na vyama vikuu vitatu huku vikiwa wanachama 61,878.

Senzighe
alisema hali ya vyama ya ushirika na mikopo vinaendelea vizuri na mpaka
sasa wamekwisha kutoka mikopo yenye thamani ya Bilioni 42.2 na ambayo
imerejeshwa kati ya hiyo ni bilioni 31.5.

Aidha alisema
changamoto kubwa wanazokabiliana nazo ni uhaba wa maafisa ushirika
kutokupata mafunzo mara kwa mara kuwajengea uwezo

Hata hivyo
aliongeza kwamba changamoto nyengine ni baadhi ya wenyeviti wa Serikali
za Vijiji kukaataa ushirika kutokana na kujilimbikizia mali za ushirika
huku wengine wakitaka mikataba ya kuuza bila utaratibu wa ushirika.

Alieleza
kwamba changamoto nyengine ni uwepo wa miundombinu mibovu ambayo
husababisha hasara kwa vyama vya mazao kutokana na bidhaa zao kuharibika
kabla ya kufika sokoni.