Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Wilaya Mpya wa Wilaya ya Magharibi A Unguja Ndg. Abeid Juma Ali, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Ndg Juma Hassan Juma Reli, hafla hiyo imefanyika leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg. Juma Hassan Juma Reli, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akihudhuria hafla hiyo na Viongozi wa Serikali na Dini.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg. Juma Hassan Juma Reli, 

kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akihudhuria hafla hiyo na Viongozi wa Serikali na Dini.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi aliowaapisha ikulu leo kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuwaapisha Viongozi aliowachagua hivi karibuni.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kuagana na Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Juma Reli, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapisha leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)