Home Mchanganyiko MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI NA KUSOMWA KWA BAJETI KUU YA...

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI NA KUSOMWA KWA BAJETI KUU YA SERIKALI 2019/2020

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Omar Mgumba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Juni 13.2019. Tokea kushoto ni Mbunge Nzega mjini Hussein Bashe, Mbunge wa Mtama Nape Mnauye, Mbunge wa Kahama mjini Jumanne Kishimba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango akiwasili katika viwanja vya  Bunge kwa ajili ya kusoma Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2019/2020 Jijini Dodoma, Juni 13.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).