Home Mchanganyiko WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAJUMUIKA KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA...

WAJUMBE UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA WAJUMUIKA KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI NA SPIKA WA BUNGE LA RWANDA JIJINI DODOMA

0

Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (wa pili kushoto), Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kulia), Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (kulia) wakifurahi  jambo wakati wakiingia katika hoteli ya Morena kwa ajili ya hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) tukio lililofanyika jana Jijini Dodoma

Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (katikati), Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto), Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (wa pili kulia) wakiingia katika hoteli ya Morena kwa ajili ya Chakula cha jioni kilichoandaliwa na umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) tukio lililofanyika jana Jijini Dodoma.

Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja huo, waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) katika hoteli ya Morena Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (kushoto), akiteta jambo na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) katika hoteli ya Morena jana Jijini Dodoma

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) katika hoteli ya Morena jana Jijini Dodoma