Home Mchanganyiko KIKAO IKULU

KIKAO IKULU

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa Kitabu pamoja na Flash Disk ambazo zina majina na
orodha ya Makampuni ya Wafanyabiashara 17447 ambayo yamekuwa
yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi mara baada ya kikao
na Wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mawaziri pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali
wakiwa katika kikao cha Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika
Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa
TNBC katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU