Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (kushoto) akisalimiana naSpika wa Bunge la Vijana 2018/2019, Ndg. Zephania Sane pale uongozi wa Bunge hilo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Ndg. Ashiruna Muhunzi na katibu wa Bunge, Ndg. Alphonsina Ambrosi
Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (kushoto) akikabidhiwa ripoti ya Bunge la Vijana 2018/2019 na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (Mwenye joho) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Bunge la Vijana 2018/2019 ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Walioongozwa na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane (wa nne kulia)
Na Oscar Assenga Tanga Jukwaa la Wanawake na Kodi limefanyika leo Jijini Tanga huku ikielezwa ni hatua muhimu inayodhihirisha dhamira ya kuendeleza usawa wa…
Na Abduly Madenge, WAF – MOROGORO: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa kifo kutokana na kuchelewa kupata huduma za dharura sasa kinakwenda kubaki kuwa historia, kufuatia…