Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba aliouiitisha kwenye Ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela na kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozungumza katika mkutano aliouitisha kwenye ukumbi wa Benki
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba aliouiitisha kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019. Kulia ni Naibu Waziri wa Biashara na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya na katikati ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba aliouiitisha kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019. Katikati ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya na kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Maendeleo wa Wilaya zinazolima zao la pamba katika mkutano wa dharura wa baadhi ya wadau wa zao la pamba kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza, Mei 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)