Home Mchanganyiko MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA AFYA NA VIONGOZI WA TAASISI YA...

MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA AFYA NA VIONGOZI WA TAASISI YA AGA KHAN

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mazungumzo kati yake, na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Aga Khan, Ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 28, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)