Kilimo-Dar es salaam
kuingia katika shughuli za kilimo tofauti za siku za nyuma ambapo ilikuwa ni
vigumu kukuta vijana wakishawishika kuingia katika kilimo.
56 ya nguvu kazi ya Taifa. Hivyo, wakihusishwa na kuwezeshwa ipasavyo kwa
kuwavutia kwa kuzingatia mahitaji yao ya msingi katika kuwekeza katika kilimo,
vijana hawa watalifikisha Taifa katika maendeleo chanya.
hayo Leo Tarehe 23 Mei 2019 wakati akifungua Jukwaa la Fikra la Mwananchi, lililofanyika
katika ukumbi wa Milleinum Tower Jijini Dar es Salaam.
Vijana wa kuwawezesha kushiriki katika kilimo kwa kuzingatia malengo makuu kumi
(10) yakiwemo upatikani wa ardhi, upatikanaji wa mitaji, mafunzo ya
ujasiriamali na uhakika wa masoko ya bidhaa zao.
ujumla tunayatekeleza haya ili kuwavutia vijana kuweza kushiriki uwekezaji
katika kilimo kupitia mnyororo wa thamani? Kwani tunakwama wapi?” Aliuliza Mhe
Hasunga
malengo ya Dira ya Taifa ya 2025 ya kufikia uchumi wa kati wa viwanda kunahitajika
kilimo bora kitakachowezesha upatikanaji wa malighafi za kutosha kutumika
katika viwanda.
wakulima kuongezeka na hivyo kuwezesha wananchi wengi kufikia kipato cha kati. “Nina
uhakika ifikapo mwaka 2025 tunaweza kufikia uchumi wa kati na pengine na kuzidi
kiwango hicho tulichojiwekea na hapo tutaiona Tanzania mpya yenye neema”
Alisema
marekebisho ya Sera ya Kilimo na kutunga Sheria ya Kilimo, hatua ambazo
zitaimarisha usimamizi na kutoa mwongozo wa maendeleo ya sekta ya kilimo kwa
ujumla.
na Radio One Sterio likiwa na lengo la kujadili masuala yanayowagusa Watanzania
moja kwa moja kwa lengo la kuyatafutia suluhisho kwa pamoja kupitia mijadala iliyotolewa.
yakihusisha pia IPP Media (ITV, Radio na Capital Radio) masuala kadhaa yamejadiliwa
ikiwa pamoja na mada za kuvutia kama vile “Magonjwa Yasiyoambukiza”,
mada ya “Tanzania ya Viwanda” na masuala ya Mazingira. Kupitia jukwa
hili, Mamilioni ya Watanzania wamefaidika kwa kutoa na kusikiliza maoni katika
Nyanja hizo kupitia mitandao ya jamii, televisheni, radio na magazeti.
wananchi na wadau wote kujadili na kutoa mawazo yatakayo iwezesha wizara ya
kilimo kutoka katika hali iliyopo na kwenda hali nyingine ya kuboresha kilimo katika
nyanja za masoko, upatikanaji wa pembejeo, wataalamu na zana bora za kilimo.
ya kilimo katika kuchangia uchumi kwa asilimia kubwa zaidi kuliko sekta
zingine, kuajiri watu wengi zaidi kuliko sekta nyingine, kuwezesha upatikanaji
wa chakula cha kutosha hapa nchini na ziada kuuza nje ya nchi, kuchangia fedha
nyingi za kigeni na kuwa moja ya sekta mama katika pato la Taifa na nguzo kuu
ya uchumi, bado kilimo hakijaweza kukuza uchumi wetu kwa namna inavyostahili
kutokana na umuhimu wake.
maendeleo kwenye mapinduzi ya kilimo, kwenda mapinduzi ya viwanda, huduma na
baadaye teknolojia. Pengine hatuwezi kukwepa kufanya mapinduzi hayo ya kilimo
hapa nchini. Tutakachoweza kufanya ni mapinduzi ya kasi zaidi kwa sababu tuna
mifano mingi ya kuiga hapa duniani” Alikariiriwa Mhe Hasunga
