Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akiongea na waandishi wa habari juu ya kuridhishwa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya kilolo mkoani Iringa
Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi akieleza jinsi gani atakavyo hakikisha wanawasimamia vilivyo wakandarasi wa wanaojenga hospitali hiyo ili kusitokee kasoro zozote zile

Haya ni baadhi ya majengo yaliyojengwa katika hospitali ya wilaya ya kilolo mkoani Iringa ambayoWaziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na kasi ya ujenzi wake

NA FREDY
MGUNDA, IRINGA.
MGUNDA, IRINGA.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kilolo mkoani
Iringa unaotekelezwa kwa kutumia zilizotolewa
na Rais Dkt. John Magufuli katika kuboresha sekta ya afya nchini.

Akizungumza na wanahabari
mara baada ya kukagua hospitali hiyo Waziri Jafo amesema kuwa kasi ya ujenzi wa
hospitali ya Wilaya ya Kilolo inaridhisha na baada ya kukamilika kwake
itawasaidia wananchi wengi wa maeneo hayo pamoja na kupunguza msongamano katika
hospitali ya rufaa.

“Niwahakikishieni viongozi
wa wilaya na mkoa kuwa nimeridhishwa na kasi hii ya ujenzi wa hospitali hii kwa
kuwa mnasimamia vilivyo kwa kuhakikisha fedha za serikali zinatumia vizuri
hivyo niwapongeze sana” alisema Jafo
Jafo alisema kuwa Serikali ya awamu ya tano ipo makini katika kuhakikisha
wananchi wa chini wanapata huduma muhimu bila kizifuata kama ilivyokuwa awali na
amehaidi kuwa atazifukisha salamu kwa Mheshimiwa Rais juu ya hatua ambazo
zinaendelea katika hospitali hiyo

“Leo naweza kuwapongeza mmefanya kazi kubwa ya kusimamia
ujenzi huu ambao umekuwa ukienda vizuri kila hatua ambayo nimekuwa nikifuatia hatua
kwa hatua hadi hii leo naona matunda yake” alisema Jafo

Aidha Jafo aliwataka viongozi kuhakikisha wanawasimamia
vilivyo wakandarasi wa majengo hayo kumalizia vizuri ili kuondokana na kasoro
mbalimbali ambazo zimekuwa zimejitokeza hasa kwenye milando bado kunashida
kuhatajikajia kurekebishwa.

“Nimetembea kwenye majengo haya yamejengwa vizuri kwa
kufuata vigezo stahili lakini tatizo ambalo nimelibaini ni kuwa mirango
haijakaa vizuri inahitajika kutolewa na kuwekwa milango mipya hivyoa naombeni
hakikisheni mnasimamia” alisema Jafo

Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi alisema
kuwa wataendelea kuwasimamia wakandarasi hao ili kuhakikisha wanarekebisha
kasoro zote ambazo zimejitokeza katika hatua hizo za umaliziaje wa ujenzi huo
wa hospitali hiyo ya wilaya ya Kilolo.

“Mheshimiwa waziri tumezipokea pokea kasoro hizo ambazo
umetuagiza tumsimamie waha wakandarasi na sisi tutazisimamia vilivyo ili kupata
hospitali iliyo bora kwa kila kitu na kuwa mfano wa kuigwa kwa hospitali
nyingine” alisema Hapi

Hapi alimuomba waziri Jafo kuhakikisha anawafikishia
shukrani kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dr John Magufuli kwa kuwapa fedha nyingi za kutekeleza miradi mbalimbali ya
mkoa wa Iringa.

“Kwa kweli tunamshukuru
sana Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli
kuendelea kutuletea fedha kwenye miradi mingi ya kimkakati hivyo tunashukuru sana”
alisema Hapi

Naye mkuu wa wilaya ya
Kilolo Asia Abdalah alisema kuwa atahakikisha kila uchwao anaendelea kusimamia
ujenzi wa hospitali hiyo kwa kuwa ipo katika wilaya yake.

“Mimi nitaendelea
kusimamia kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kila kitu kinaenda kama
ilivyokusudiwa na kuwa hospitali ya mfano hata nchini hivyo nikuahidi
nimeyachukua kwa umakini mkuwbwa maagizo yako” alisema Abdalah