MchanganyikoKIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI CHAENDELEA ZANZIBAR Last updated: 2019/05/21 at 6:38 AM Alex Sonna 5 years ago Share ???????????????????????????????????? SHARE Mwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma akichangia Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Nadir Abdul-latif Yussuf katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za mitaa na Idara maalum za SMZ Shamata Shaame Khamis (kushoto)akibadilishana mawazo na mwakulishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan Juma ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Suleiman Sarahan Said akichangia Hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman katika kikao cha baraza la Wawakilishi kinachoendelea Mbweni Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR. Alex Sonna May 21, 2019 May 21, 2019 Share this Article Facebook Twitter Email Print Previous Article RAIS Dkt Magufuli Ameipatia Heshima kubwa Tanzania kwa kuwa na Paspoti yenye Ubora wa Kimataifa -Uhamiaji Next Article MABONDIA WA KULIPWA NA RIDHAA KUCHAPANA JUNI DAR ES SALAAM