Kaimu Meya wa Manispaa ya Ilala,Omary Kumbilamoto akimueleza Gavana wa Tarafa ya Ukonga namna ukarabati wa soko la Vingunguti unavyoendelea

Kaimu meya Manispaa ya Ilala akionyesha sehemu ambayo aijakarabatiwa na maji yanatuwama hivyo kumtaka makandarasi wa eneo hilo kufanya haraka sana kukamilisha ujenzi

Mafundi ujenzi wanaendelea ukarabati katika Machinji ya Vingunguti ambapo kaimu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti Omary Kumbilamoto alitembelea ujenzi huo kuangalia ni hatua gani imefikiwa