Teknolojia
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. BITEKO AKAGUA MITAMBO YA UMEME YA NEW PANGANI (MW 68)
*Ataka matengenezo yafanyike kwa kasi na umakini *Aiagiza TANESCO kufanya ukaguzi mara kwa mara kwenye vituo vya umeme *Awasha umeme kijiji cha Ngomeni Muheza…
WATANZANIA WAPEWE KIPAUMBELE MRADI WA EACOP-DKT. BITEKO
*Ataka uwiano wa malipo kati ya Watalaam Wazawa na kutoka nje* …………………….. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka…
MISRI YAIPONGEZA TANZANIA KWA KUTEKELEZA MRADI WA JNHPP
Rufiji. Waziri wa Nyumba, Nishati na Maendeleo ya Makazi wa Misri, Mhe. Assim Elgazzar ameipongeza Tanzania kwa kutekeleza Mradi wa kuzalisha umeme wa Julius…
DKT. BITEKO NA WAZIRI WA NISHATI MISRI WAZUNGUMZA KUHUSU MRADI WA JNHPP
*Majaribio ya mwanzo mtambo Na.9 JNHPP yaleta mafanikio *Kilowati 100 zaanza kuingizwa gridi ya Taifa Waridhishwa na utekelezaji wa mradi Naibu Waziri Mkuu na…
SAMSUNG YAZINDUA SIMU JANJA MPYA ZENYE KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA YA AKILI AKILI BANDIA
Kampuni ya Samsung Electronics Co., Ltd. Januari 17 ,2024 katika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam imezindua matumizi ya simu janja za…
MBINU ZA UBUNIFU KITEKNOLOJIA SASA KWA LUGHA YA KISWAHILI
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Tehama, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto) akipokea nakala ya kitabu cha Ubunifu na Teknolojia ya Kisasa kutoka kwa mtunzi Emilian…
DKT. BITEKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MIWILI YA KIHISTORIA YA GESI ASILIA
*Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG *Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini *Asema Rais,…
UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78
*Mashine Mbili za Megawati 47O zimeshafungwa, majaribio yameanza *Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme *Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa…
PAET YAWAPONGEZA TAQA DALBIT KWA KUFUNGUA KITUO CHA CNG DAR ES SAALAM
Meneja wa Mkondo wa chini wa gesi asilia PanAfrican Energy Tanzania (PAET), Mhandisi. Sabas Oisso (kushoto) akiwa na Meneja Mkazi wa TAQA Dalbit nchini,…