WACHIMBAJI TANZANITE WALAANI TAARIFA POTOFU ZINAZOMCHAFUA WAZIRI BITEKO
Mwenyekiti wa MAREMA Tawi la Mirerani Peter Mollel akilaani juu ya clip iliyosambazwa ikimkashifu Waziri wa Madini na mameneja wawili wa migodi ya Tanzanite,…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Mwenyekiti wa MAREMA Tawi la Mirerani Peter Mollel akilaani juu ya clip iliyosambazwa ikimkashifu Waziri wa Madini na mameneja wawili wa migodi ya Tanzanite,…
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza amefariki dunia usiku huu wa leo Disemba 24, 2020. Taarifa za awali zinaeleza…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika Misa Takatifu ya Krismasi katika Kanisa la Bikira Maria Imakulata Chamwino…
Askofu Kiongozi wa Kanisa la Abundant Blessing Centre (ABC) la Mtaa wa Mandela jijini Dar es Salaam, Flaston Ndabila (katikati) akikabidhi juzi msaada wa…
*************************************** Na Mwandishi wetu, Manyara WAATHIRIKA 10 wa mikopo umiza wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wamerejeshewa mali zao baada ya kuchukua mikopo umiza…
Sehemu ya silaha walizokutwa nazo Majambazi pichani kamanda Hamduni akionyesha Bastola mbili walizokutwa nazo Majambazi hao waliouawa katika mapambano na Askari wa Jeshi la…
MBUNGE wa Viti Maalumu Tanzania Bara kupitia (NGOs) Mhe. Neema Lugangira akizungumza jambo kwa Wazee 38 waliowakilisha Kata zote 14 za Bukoba Manispaa kwa lengo…
Kulia ni Mhandisi Senzia Maeda Mkurugenzi wa Idara ya Miundombinu kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliagi akionesha Hati ya kukamilika kwa kazi ya Ujenzi…
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akiongozana na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu (kushoto), baada ya kumaliza ziara…
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akitoa tuzo kwa washindi wa mashindano ya TEHAMA ambapo Tanzania imeshika nafasi ya…