Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNESCO TANZANIA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNESCO Nchini Tanzania.Bw.Tirso Dos Santos alipowasili…
UWEPO WA MRADI WA MBOGA MBOGA NA MATUNDA PEMBA KUNUFAISHA WAKULIMA
Afisa Kilimo mseto wa radi wa VIUNGO, Waleed Rashid Juma akizungumza na wakulima wa Shehia ya Pembeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba…
MGANGA MKUU MKOA WA PWANI AWAONYA WANAFUNZI KUACHANA NA TABIA YA KUJISAIDIA VICHAKANI
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Pwani Dk. Gunini Kamba akizungumza jambo katika moja ya mkutano na wadau mbali mbali wa sekta ya afya kwa…
NAIBU WAZIRI KASEKENYA AWATAKA WATENDAJI KUFANYA MAAMUZI
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya akirekebisha hotuba yake kabla ya kufunga rasmi baraza la wafanyakazi la Sekta ya Uchukuzi, lililofanyika…
MAAFISA UGANI WATAKIWA KUTOA ELIMU YA KILIMO BORA CHA MAZAO YA BIASHARA KWA WANUFAIKA WA TASAF
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akizungumza na wananchi na wanufaika wa TASAF katika…
Wavuvi na Wakazi wa Kijiji cha Nyamikoma Wapewa Elimu ya Ufugaji wa Samaki kwa kutumia Vizimba
Mwakilishi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Bw. Silas William akitoa elimu ya ufugaji wa Samaki kwa kutumia Vizimba katika Mwalo wa Nyamikoma, Busega.…
VIJANA WALILIA AJIRA UJENZI WA DARAJA LA JPM
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonarad Chamuriho, akikagua Ujenzi wa Daraja la Magufuli, lijulikanalo kama daraja la Kigongo-Busisi lenye mita 3200 na…
WALIOKAIDI MKATABA WA NARCO KIKAANGONI NDANI YA SIKU KUMI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki (aliyesimama), akizungumza na baadhi ya wakulima na wafugaji wanaofanya shughuli zao kwenye Ranchi ya Usangu iliyopo…
KUWE NA UTARATIBU MAALUM WA KUGAWA UMETA KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hashimu Mgandilwa aliyekaa mbele akiwa katika kikao na ujumbe wa REA ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya…