Mchanganyiko
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA
…………………………………………………………….. JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINAWASHIKILIA WATU WATANO KWA TUHUMA ZA MAKOSA MBALIMBALI YA KIUHALIFU IKIWEMO MAUAJI. TUKIO LA KWANZA. HUKO MAENEO…
CHUO CHA TAIFA CHA UTALII (NCT) CHAASWA KUWAANDAA WANAFUNZI WATAKAO KWENDA KUJIAJIRI WAO WENYEWE NA KUTANGAZA BIDHAA YA UTALII KUPITIA ELIMU WALIYOIPATA CHUONI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akisisitiza kuhusu umuhimu wa kuboresha elimu ya Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT)…
Rais Mhe. Dkt. Magufuli afungua Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya…
BARAZA LA TAIFA LA USHAURI KWA WATU WENYE ULEMAVU WAKUTANA NA KUJADILI MASUALA MBALIMBALI KUHUSU WATU WENYE ULEMAVU
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Ushauri kwa Watu wenye Ulemavu Dkt. Lukas Kija akiongoza kikao hicho kilichofanyika Februari 24, 2020, Jijini Dodoma. Mwenyekiti…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.MWINYI AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. SIMBACHAWENE IKULU ZANZIBAR LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Goerge Boniface Simbachawene (kulia kwa…
WATAALAM WA ELIMU, AFYA NA USTAWI WA JAMII WAJENGEWA UWEZO WA KUPAMBANA NA VITENDO VYA UKATILI
***************************** Wataalam wa elimu, afya na ustawi wa jamii katika Manispaa ya Ilemela wamejengewa uwezo wa kubaini, kuchukua hatua na kupambana na vitendo vya…