Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MIFUKO YA PLASTIKI YAPIGWA MARUFUKU KUINGIA MUHIMBILI
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali…
KITETO CHANGAMKIENI FURSA BOMBA LA EACOP
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhe. Mbarak Alhaj Batenga akisisitiza jambo wakati wa semina ya EWURA kwa wadau kuhusu kutambua na kushiriki fursa zinazotokana…
SERIKALI YAANZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAJI NDANI YA JIMBO LA KWELA
Serikali imeanza utekelezaji wa Miradi ya Maji ya Mkunda group,Kaoze group pamoja na Ilemba ambayo inatarajiwa kukamilika katika Mwaka wa fedha 2023/2024.
KAMATI YA SIASA CCM HALMASHAURI YA SHINYANGA YARIDHISHWA NA KASI YA MIUNDOMBINU YA MAJI SHUWASA
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka katika Halmashauri ya Shinyanga imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya kusambaza majisafi kwa…
WAZIRI NDUMBARO AZINDUA JUKWAA LA KITAIFA LA HAKI MWANAMKE
WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Damas Ndumbaro,akizungumza wakati akizindua Jukwaa la Kitaifa la Haki Mwanamake hafla iliyofanyika leo Juni 6,2023 jijini Dodoma. Naibu Waziri Katiba…
SERIKALI YAFUNGUA MILANGO KWA UWEKEZAJI BIASHARA YA KABONI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amesema Serikali inaendelea kufungua milango kwa wawekezaji wa Biashara ili…
MIGODI YA BARRICK NORTH MARA NA BULYANHULU YAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUHAMASISHA JAMII KUPANDA MITI NA KUTUNZA MAZINGIRA
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick North Mara uliopo wilayani Tarime mkoani Mara wakishiriki zoezi la kupanda miti katika maeneo ya mgodi…
MBUNGE MTATURU AIKOMALIA SERIKALI MIRADI JIMBONI
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali kwa kuanza kutekeleza mradi wa maji katika Vijiji vya Minyinga,Mkunguwakihedo na Sakaa vilivyopo wilayani Ikungi…