Thursday, November 26, 2026

Alex Sonna

Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.

26397 Stories
BENKI YA NMB YAZINDUA KAMPENI YA BONGE LA MPANGO MCHONGO WA KILIMO AWAMU YA PILI KANDA YA KUSINI

BENKI YA NMB YAZINDUA KAMPENI YA BONGE LA MPANGO MCHONGO WA KILIMO AWAMU YA PILI KANDA YA KUSINI

Meneja wa Benki ya Nmb Tawi la Namtumbo mkoani Ruvuma Atu Mwanjejele akizungumza wakati wa droo ya washindi wa kampeni ya Bonge la  mpango mchongo wa kilimo awamu ya pili  kanda ya Kusini ambapo wakulima watano walijinyakulia zawadi ya fedha taslimu Sh.100,000 na Chama cha Msingi cha Ushirika Lwinga kilishinda Pikipiki,katikati mwakilishi wa Mkuu wa wilaya ya Namtumbo Mryangi Kuruchumira na kulia kaimu meneja wa Nmb kanda ya kusini Roman Degeleki.  Meneja wa Benki ya Nmb Tawi la Namtumbo mkoani Ruvuma Atu Mwanjejele kushoto na Mfanyakazi wa Nmb kanda ya kusini Robert Samji wakimpa zawadi ya T-shirt mmoja wa wateja wa Benki hiyo jana.  Mwandishi Mkuu wa Chama cha Msingi cha Ushirika Lwinga Ushuru(Lwinga Amcos)…