Home Uncategorized TBL Plc YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE DAR ES SALAAM

TBL Plc YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE DAR ES SALAAM

0

Wafanyakazi wa TBL PLc, wakishiriki kupata futari waliyoandaliwa  na  Kampuni jana jijini Dar es Salaam wakati  wa  kipindi hiki cha mfungo wa  mwezi Mtukufu wa Ramadhan .

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Plc, katika picha ya pamoja kabla ya kushiriki futari iliyoandaliwa na kampuni