Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakijumuika na waumini wengine wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato katika Ibada ya Jumapili ya Dominika ya pili iliyofanyika Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili ya Dominika ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato katika Ibada ya Jumapili ya Dominika ya pili iliyofanyika Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Paroko wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Padre Henry Mulinganisa mara baada ya kuzungumza na Waumini wa Kanisa hilo Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Masista mara baada ya Ibada ya Jumapili ya Pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Vijana wadogo wa Kikatoliki mara baada ya Ibada ya Jumapili ya Pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Paroko wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Padre Henry Mulinganisa pamoja na Vijana wadogo wa Kikatoliki mara baada ya Ibada ya Jumapili ya Pili ya Dominika ya pili iliyofanyika Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Januari 2021.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimsalimia Paroko wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Padre Henry Mulinganisa mara baada ya Ibada Kanisani hapo. PICHA NA IKULU
Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato,
………………………………………………………….