Home Mchanganyiko RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ATUMA SALAMU YA MWAKA MPYA 2021

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ATUMA SALAMU YA MWAKA MPYA 2021

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu za mwaka mpya kwa Wananchi wa Zanzibar, amewatakia kheri wananchi wote wa Zanzibar na Tanzania kwa kuukaribisha Mwaka 2021 na kuuaga 2020.[Picha na Ikulu] 31/12 /2020.