Jengo la wagonjwa wa dharura lililojengwa katika Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma.
Kaimu Mganga mfawidhi wa Hospitali ya wilaya Tunduru Dkt Wilson Mping’wa akionyesha baadhi ya vifaa tiba vilivyofungwa katika jengo la wagonjwa wa dharura.
Baadhi ya vifaa vilivyofungwa katika jengo la wagonjwa wa dharura katika Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Chiza Marando akitoa taarifa ya mapokeo ya fedha na ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura na ukarabati wa baadhi ya majengo katika Hospitali ya wilaya.
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa majengo mapya katika Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma ambapo Serikali imetoa kiasi cha Sh.milioni 900 kujenga na kukarabati baadhi ya majengo kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma za afya.
…………………………
Na Muhidin Amri,
Tunduru
SERIKALI imetoa kiasi cha Sh.m
Hayo yamesemwa jana na Mkuruge
Alisema,kiasi hicho cha fedha
Marando alisema,fedha hizo zin
Aidha alisema,katika kipindi c
Kwa mujibu wa Marando,fedha ny
Amemshukuru Rais Dkt Samia Sul
Katika hatua nyingine Marando
Alisema kuwa, kwa sasa mradi h
Amewapongeza wananchi wa wilay
Kwa upande wake kaimu Mganga m
Alisema,jengo hilo litasaidia
Alisema,ndani ya jengo hilo ku
Mkazi wa kijiji cha Muhuwesi w
Hata hivyo,ameiomba serikali k