Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI JAFO AWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2024/25

Ofisi ya Makamu wa Rais inaandaa Mfumo wa Kieletroniki wa Uratibu wa Taarifa za Masuala ya Muungano na yasiyo ya Muungano. Pia, inaanzisha Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (MAKAVAZI) ili kuwa na mfumo endelevu wa kuhifadhi kumbukumbu na nyaraka za mambo ya Muungano ili kuongeza uelewa wa masuala ya Muungano kwa kizazi cha sasa

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA AAGANA NA ALIYEKUWA BALOZI WA RWANDA TANZANIA BALOZI FATOU HARERIMANAA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania tarehe 23 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya

John Bukuku By John Bukuku

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia,  Omary Kipanga, bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, bungeni jijini Dodoma,  Aprili 23, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS DK.MWINYI AMEIFUNGUA BARABARA YA MAENEO HURU YA UCHUMI MICHEWENI PEMBA IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi wa ZIPA Pemba na Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara  maeneo huru ya Uchumi Micheweni Koa wa Kaskazini Pemba Mhandisi Suleiman Abdallah Ali akitowa maelezo ya Mradi huo wakati wa Uzinduzi wa wa Barabara ya Maeneo Huru ya Uchumi

Alex Sonna By Alex Sonna

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR OTHMAN MASOUD OTHMAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE YA UWEKEZAJI ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud  Othman akitoa hotuba katika Maadhimisho ya Sherehe ya Uwekezaji na Uzinduzi wa Malengo Endelevu ya Umoja wa Mataifa(SDG INVESTOR'S)iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar. Na Ali Issa. Maelezo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussen Ali Mwinyi amesema Muongozo malum wa uekezaji

Alex Sonna By Alex Sonna

VODACOM YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WAHANGA WA MAFURIKO PWANI

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge (wa pili kulia) akipokea msaada wa kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko ya Rufiji na Kibiti wenye thamani ya takribani shilingi 250m uliotolewa na Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation. Msaada huo ulikabidhiwa na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Vyombo vya Habari wa kampuni ya Vodacom Tanzania Annette Kanora (katikati). Wengine pichani

John Bukuku By John Bukuku

WANAFUNZI KATIKA SHULE ZILIKUMBWA NA MAFURIKO WATAENDELEA NA MASOMO – WAZIRI MKENDA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga na itahakikisha wanafunzi ambao shule zao zimefungwa kutokana na mafuriko Nchini kote wanaendelea na masomo. Mkenda amebainisha hayo April 22, 2024 wakati akizungumza na wahanga wa mafuriko katika kijiji cha Muhoro na Chumbi B Wilayani Rufiji mkoani Pwani, ambapo amewasisitiza Wazazi kuwaruhusu Watoto wote kwenda Shule zilizo karibu

Alex Sonna By Alex Sonna

PINDA AZITAKA TAASISI KUSHIRIKIANA NA TUME KUWEKA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI

 Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda akikagua Mbanda ya Maonesho katika viwanja vya Hoteli ya Molena, yanayoendelea wakati wa mkutano wa wadau wa  wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi jana Jijijini Dodoma.Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda akiangalia Kishikwambi kinachotumika kuchakata taarifa za Mfumo wa Mipango

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara