Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN AFRIKA MASHARIKI KUFANYIA KESHO NEW AMAAN COMPELEX ZANZIBAR

Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya kuhifadhi Qur-an kutoka Ofisi ya mufti Shekh Mziwanda Ngwali Ahmed akitoa taarifa ya mashindano hayo  yatakayofanyika kesho April 30 katika viwanja vya N¹ew Amaan Complex ............. Na Rahma Khamis Maelezo   Zaidi ya nchi saba zitashiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qurani Afrika mashariki hapo kesho  yatakayofanika viwanja vya New Amani Compelex ikiwemo Mwenyeji Zanzibar. Akitoa taarifa kwa waandishi

John Bukuku By John Bukuku

WAWILI WAFARIKI DUNIA NA WATATU WAJERUHIWA AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA MASHABIKI WA SIMBA

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Watu wawili wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana Machi 29 ,asubuhi huko Vigwaza Mizani, Wilaya ya kipolisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Pius Lutumo, amethibitisha kuwa,basi dogo la abiria lenye namba za usajiri T125 EAP aina ya Toyota kosta likitokea Mbeya kwenda Dar es salaam likiwa

John Bukuku By John Bukuku

MBUNGE AWAFARIJI WAZEE NA WAGONJWA 

Na Takdir Ali. Maelezo.  29/03/2024. Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe. Tauhida Galos Nyimbo amesema Wazee wanakabiliwa na Changamoto mbalimbali ikiwemo maradhi na ugumu wa maisha hivyo wanahitaji kusaidiwa ili wasijihisi kuwa wametengwa na jamii. Akizungumza katika ziara ya kutembelea Wazee na Wagonjwa kwa Majimbo ya Wilaya ya Mfenesini  kichama amesema Wazee hao  wametoa mchango mkubwa katika mustakbali

John Bukuku By John Bukuku

VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA NDANI YA MIAKA  MITATU.

Shekhe Iddi Ngela ambaye  ni Kiongozi wa dini Arusha akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha.  Shekhe Haruna Hussein akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha  Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika kikao hicho na viongozi  wa dini ............ Happy Lazaro, Arusha Baadhi ya viongozi wa dini mkoani Arusha wamempongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ,Dk

John Bukuku By John Bukuku

JAFO AZITEMEA CHECHE HALMASHAURI NCHINI KWA UCHAFU AKIZINDUA MRADI WA TWIGA WA KIJANI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Jafo akipanda mti pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Jeshini,Manispaa ya Ilemela,  leo alipozindua Mradi wa Twiga wa Kijani wa kupanda miti 6,000 katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania Bara. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege (ATCL), Mhandisi Ladislaus Matindi,wanafunzi wa shule ya Msingi Jeshini katika Manispaa

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI KIJAJI:WATANZAMIA TUMIENI FURSA KUPELEKA BIDHAA UINGEREZA

  Serikali imewashauri watanzania kutumia fursa ya mpango wa biashara wa Nchi zinazoendelea kwa kuhakikisha wanapeleka bidhaa katika nchi ya Uingereza ili kukuza Uchumi pamoja na pato la Taifa. Mpango huo mpya umeanza kutumika mwaka jana 2023 ambapo Serikali ya Uingereza iko tayari kupokea bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini zikiwemo zenye kulipiwa ushuru na zisizolipiwa. Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe. Dkt.

Alex Sonna By Alex Sonna

DIB YATANGAZA NEEMA KWA WALIOKUWA WATEJA WA BENKI YA WANANCHI MERU

Mhasibu Mwandamizi wa DIB Silvani Makole akiwasilisha mada kuhusu Ufilisi wa Benki ya Wananchi Meru mbele ya wafanyakazi pamoja na viongozi wa vijiji wa Wilaya ya Arumeru. Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Arumeru Dkt Amani Sanga akifungua rasmi mafunzo ya DIB kwa wafanyakazi na viongozi wa vijiji mbalimbali wa Halmashauri ya Meru. Meneja Uendeshaji wa Bodi ya Bima ya Amana Nkanwa

John Bukuku By John Bukuku

SIMANJIRO WAONYWA UHARIBIFU MIUNDOMBINU YA MAJI

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara l, Dkt Suleiman Hassan Serera akifungua kikao cha kujadili mradi wa kuboresha upatikanaji wa huduma za maji vijijini kwa ubia na sekta binafsi (PPP) ulioandaliwa na mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA). Na Mwandishi wetu, Simanjiro BAADHI ya wafugaji Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameonywa kutoharibu miundombinu inayosambaza maji kwa jamii,

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara