Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WANAFUNZI KATIKA SHULE ZILIKUMBWA NA MAFURIKO WATAENDELEA NA MASOMO – WAZIRI MKENDA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga na itahakikisha wanafunzi ambao shule zao zimefungwa kutokana na mafuriko Nchini kote wanaendelea na masomo. Mkenda amebainisha hayo April 22, 2024 wakati akizungumza na wahanga wa mafuriko katika kijiji cha Muhoro na Chumbi B Wilayani Rufiji mkoani Pwani, ambapo amewasisitiza Wazazi kuwaruhusu Watoto wote kwenda Shule zilizo karibu

Alex Sonna By Alex Sonna

PINDA AZITAKA TAASISI KUSHIRIKIANA NA TUME KUWEKA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI

 Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda akikagua Mbanda ya Maonesho katika viwanja vya Hoteli ya Molena, yanayoendelea wakati wa mkutano wa wadau wa  wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi jana Jijijini Dodoma.Naibu Waziri Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda akiangalia Kishikwambi kinachotumika kuchakata taarifa za Mfumo wa Mipango

John Bukuku By John Bukuku

SHIRIKA LA MASOKO KARIAKOO KUTUMIA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA TAUSI KUKUSANYA MAPATO

Kaimu Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Bw. Sigsibert K.Valentine akitoa taarifa kwa waandishi wa habari  Dar es Salaam (22 Aprili 2024) kuhusu maandalizi ya wafanyabiashara kurejea sokoni Kariakoo ambapo amesema mfanyabiashara mwenye deni la awali anapaswa kulipa kabla ya kuomba  nafasi tena  kwa kuwa mfumo wa kielektoniki utakaotumika hautoruhusu wadaiwa kuingia soko jipya la Kariakoo. Picha zikionesha

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA UONGEZAJI THAMANI MADINI NCHINI

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde leo Aprili 22, 2024 jijini Dodoma amekutana na wafanyabiashara wa madini na wachimbaji wa madini kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili kwenye shughuli zao ikiwemo changamoto ya ukosekanaji wa teknolojia ya uchenjuaji wa baadhi ya madini na hivyo kuielekeza Tume kuandaa utaratibu sahihi wa usafirishaji wa madini yaliyongezwa thamani kwa kiwango cha teknolojia inayopatikana

Alex Sonna By Alex Sonna

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR KATIKA MKUTANO WA UWEKEZAJI WA MALENGO ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, jioni ya leo Jumatatu Aprili 22, 2024, ameshiriki akiwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Siku Moja wa Ramani ya Uwekezaji wa Malengo ya Sheria ya Umoja wa Mataifa, hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, hapo Uwanja wa Ndege, Mkoa wa Mjini-Magharibi

John Bukuku By John Bukuku

RC CHALAMILA MAISHA YA GARDNER NI FUNZO

*Asema wengi tumeguswa na msiba huo lakini pia ni funzo kwa jinsi ya kukaa vizuri na watu ukiwa hai. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 22,2024 ameungana na mamia ya wakazi wa Mkoa huo katika kuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji nguli wa Clouds FM marehemu Gardner Habash katika viwanja vya Leaders club Kinondoni Jijini

John Bukuku By John Bukuku

DK.HUSSEIN MWINYI AHUDHURIA HAULI YA 102 TANGU KUFARIKI KWA MWANACHUONI ALHABYB AHMAD BIN ABUUBAKR SUMEIT MSIKITI WA IJUMAA MALINDI ZANZIBAR LEO 22-4-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea marehemu Mwanachuoni Alhabyb Ahmad Bin Abuubakar Bin Sumeit ikisomwa na Sayy Mudh-hiridin Ally Qullatein (kushoto kwa Rais)  wakiwa katika kaburi la marehemu lililoko katika eneo la  Msikiti wa Ijumaa Malindi Wilaya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya Hauli ya 102 iliyofanyika leo 22-4-2024 na (kushoto

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara