Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI WA ULINZI NA JKT AFANYA ZIARA YA KIKAZI KIKOSI CHA 834 MAKUTUPORA

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb), leo tarehe Aprili 18, 2024 amefanya ziara ya kikazi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya 834 Makutupora iliyopo Makutupora jijini Dodoma. Mhe Dkt Stergomena L. Tax, ni miongoni wa viongozi waliopata mafunzo ya JKT katika kambi hiyo mwaka 1983, katika Oparesheni Mshikamano. Ziara hiyo ilikuwa

John Bukuku By John Bukuku

WANAWAKE WAZIDI KUNG’ARA KATIKA UONGOZI

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa “Think Equal Lead Smart” uliofanyika jijini Dar Es Salaam Aprili 18, 2023. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya CEO Roundtable of Tanzania Santina Benson akitoa maelezo kuhusu mradi wa “Think Equal Lead Smart” wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliofanyika

John Bukuku By John Bukuku

ASKARI POLISI UKANDA WA MASHARIKI MWA AFRIKA WATAKIWA KUJIWEKA IMARA KUKABILIANA NA UHALIFU.

Na John Walter-Kilimanjaro  Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024 lililofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania Moshi Mkoani Kilimanjaro Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya

John Bukuku By John Bukuku

JWTZ LIMETOA MAGARI KUMI RUFIJI,K URAHISISHA USAFIRI

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji April 19 Jeshi la Wananchi wa Tanzania limetoa magari kumi kwa ajili ya kusaidia kusafirisha vyakula kwenda kwenye makambi ya waathirika wa mafuriko walioko kwenye Wilaya za Rufiji na Kibiti Mkoa wa Pwani. Akipokea Magari hayo April 18, 2024 Wilayani Rufiji, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amempongeza Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA NA MWENYEJI WAKE RAIS RECEP TAYYIP ERDOGAN KATIKA MATUKIO MBALIMBALI AKIWA ZIARANI NCHINI UTURUKI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan wakati wakiangalia album ya picha za matukio ya Ziara Rasmi aliyoifanya katika Ikulu ya Kulliye Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye

John Bukuku By John Bukuku

HUYU MWANAMKE BAADA YA KUMTAFUTIA KAZI KANIACHA ILA!!!!

Jina langu ni Mkoi kutokea Manyara nchini Tanzania, ni kijana wa miaka 25, nilikuwa na mahusiano na msichana ambaye nilimpenda sana na kila kitu nilikuwa nampa ila nikaona hiyo haitoshi. Nikamtafutia kazi sheli, akawa analipwa na mshahara wake mzuri tu, cha kusikitisha hiyo ndio ikawa chanzo cha kunisahau mimi kama mpenzi wake baada ya kuona wengine wazuri huko nje. Visa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara