Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

TAKUKURU TABORA YABAINI MIRADI ISIYO NA UBORA.

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imefuatilia utekelezwaji miradi 15 ya maendeleo yenye thamani ya sh bil 5.6 na kubaini kazi iliyofanyika kwa baadhi ya miradi haiendani na thamani ya fedha iliyotumika. Akitoa taarifa kwa waandishi na habari Leo Mkuu wa Taasisi hiyo Mkoani hapa Mhandisi Abenry Mganga alisema katika kipindi cha Januari-Machi 2024 Ofisi yake

John Bukuku By John Bukuku

JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI PWANI LATOA ELIMU KWA WANANCHI 72862 KUJIKINGA NA MAJANGA.

Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Pwani Katika kukabiliana na majanga mbali mbali yakiwemo ya  moto na mafuriko ya mvua imetoa elimu kwa zaidi ya wananchi 72862 juu ya kujikinga na majanga pindi yanapotokea lengo ikiwa ni jinsi ya kuyadhibiti. Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Pwani Mrakibu mwandamizi Jenifa Shirima wakati akizungumzia

John Bukuku By John Bukuku

WATANZANIA TUWEKEZE KWENYE KINGA ILI KUPUNGUZA GHARAMA ZA MATIBABU – WAZIRI UMMY

Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwekeza zaidi kwenye kinga na sio tiba ili kupunguza gharama za matibabu pamoja na kuepuka magonjwa Yasiyoambukiza ikiwemo Saratani kwa kufanya mazoezi na kuzingatia mtindo bora wa maisha. Waziri Ummy ametoa wito huo Aprili 20, 2024 baada ya matembezi yaliyofanyika kwa ajili ya harambee za kuchangia

John Bukuku By John Bukuku

KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA ZANZIBAR ZOTE ZINAZUNGUMZIA HAKI YA KUPATA HABARI

 Na Masanja Mabula ,Pemba. KATIBA ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 18  na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1984 Kifungu 18 zimezungumzia haki ya mtu kupata habari. Aidha katika katiba zote imeelezwa kuwa “ kila mtu anayo haki ya kutafuta , kupokea  na kutoa habari bila ya kujali mipaka ya nchi”. Pia imeweka

John Bukuku By John Bukuku

TSH. MILIONI 50 KUSHINDANIWA KATIKA SHINDANO LA STORIES OF CHANGE

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo na Mkurugenzi wa Uchechemuzi wa TWAWEZA, Annastazia Rugaba wakizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam.                                                         ************* Na Mwandishi wetu Baada ya mafanikio ya Shindano

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO AWASILI PEMBA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili Kisiwani Pemba na kupokelewa na Waziri ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Uratibu na Bunge Mhe. Hamza Hassan Juma kwaajili ya shughuli za maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofikia kilele chake terehe 26 April 2024. Akiwa Kisiwani humu Dkt. Biteko ataweka

John Bukuku By John Bukuku

MABWENI YACHANGIA WANAFUNZI KUFANYA VIZURI KWENYE MASOMO GEITA

Uwepo wa Mabweni katika shule za sekondari zimeelezwa kuwa ni moja ya kichocheo cha wanafunzi wa kike kufanya vizuri kwenye masomo yao na kuepukana na vishawishi ambavyo vimekuwa vikiwapelekea kushindwa kutimiza ndoto zao. Akizungumza kwenye mahafari ya pili ya kidato cha sita kwenye shule ya Sekondari ya Shantamine iliyopo kata ya Mtakuja,Halmashauri ya Mji wa Geita,Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo ambaye

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TANTRADE YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Na Sophia Kingimali. Meneja wa ukuzaji biashara kutoka Mamlaka ya Biashara (TANTRADE) Mohamed Tajiri ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili,

John Bukuku By John Bukuku