Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

TANZANIA YACHAGULIWA MAKAMU WA RAIS WA TUME YA SHIRIKIA LA HALI YA HEWA DUNIANI

Geneva, Uswisi: Tarehe 18/04/2024 Tanzania kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) inayosimamia uangazi, miundombinu na mifumo ya taarifa za hali ya hewa (WMO Commission for Observation, Infrastructure and Systems - INFCOM). Katika uchaguzi huo Tanzania iliwakilishwa na Mkurugenzi wa Miundombinu na Huduma za

John Bukuku By John Bukuku

MKURUGENZI MWAUWASA APONGEZWA KWA UBUNIFU, UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KWA VITENDO.

Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Neli Msuya (kulia), akizungumza na waandishi wa habari,Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Nyamagana ilipotembea miradi ya Mfumo rahisi wa Uondoshaji na kuchakata majitaka katika Gereza Kuu la Butimba, leo. Katibu wa CCM Wilaya ya Nyamagana, Geofrey Kavenga wa pili kutoka kushoto,leo akizungumza na watumishi wa MWAUWASA wakiongozwa na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo, Neli Msuya

John Bukuku By John Bukuku

CDE-MBETO: AMPONGEZA DKT.SAMIA KWA KUTUNUKIWA Phd ya UCHUMI

Katibu wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar  Khamis Mbeto Khamis, akizungumza juu ya heshima ya udaktari wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki. .......... NA MWANDISHI WETU,ZANZIBAR. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimempongeza Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri

John Bukuku By John Bukuku

RC ARUSHA AWATAKA WANANCHI KUTUNZA MAZINGIRA NA KUPANDA MITI

Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ametoa wito kwa wakazi wa mkoa huo kujikita kwenye utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti kwa kuwa mandhari yanayoonekana mkoani humo kwa sasa yanatokana na miti iliyopandwa na Wazee wetu miaka mingi iliyopita Makonda amezungumza hayo mapema leo, Ijumaa Aprili 19.2024 wakati akiongoza zoezi la upandaji miti lililofanyika kwenye viunga vya Chuo cha

John Bukuku By John Bukuku

RFO PWANI ASEMA WANANCHI 2397 WAFANIKIWA KUOKOLEWA MAFURIKO YA RUFIJI NA KIBITI

NA VICTOR MASANGU,PWANI  Kamanda wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa Pwani  Mrakibu mwandamizi Jenifa Shirima amesema kwamba hadi kufikia leo Aprili 19 wamefanikiwa kuokoa wananchi wapatao 2397 kutoka Wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani ambao walikubwa na mafuriko ya mvua na makazi yao kuzingirwa na maji. Akizungumza katika mahojiano maalumu kuhusiana na mwenendo mzima wa hali halisi

John Bukuku By John Bukuku

TANTRADE YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Na Sophia Kingimali. Meneja wa ukuzaji biashara kutoka Mamlaka ya Biashara (TANTRADE) Mohamed Tajiri ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili waweze kujifunza maswala mbalimbali ya Muungano lakini pia kujua namna wanavyoweza kukuza biashara zao na kuzitangaza kimataifa. Wito huo ameutoa leo Aprili 19,2024 katika maonesho hayo yaliyofunguliwa

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA AFYA ITAENEDESHA ZOEZI LA CHANJO YA SHINGO YA KIZAZI KWA APRIL 22.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fatma Kabole akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na zoezi la chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana kati ya umri wa miaka 9-14, inayotarajiwa kuanza April 22-25 nchi mzima, hafla ambayo imefanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Unguja.                    

John Bukuku By John Bukuku

MRADI WA MACHIMBO YA DHAHABU NYANZAGA KUANZA UTEKELEZAJI WAKE MAPEMA

*Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya Perseus Dodoma leo *Awataka kuharakisha uendelezaji wa mradi *Asisitiza ukamilishwaji wa malipo ya fidia na uhamishwaji wananchi Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde leo amefanya kikao cha pamoja na Kampuni ya Perseus ya Australia ikiongozwa na Mtendaji Mkuu wake Ndg. Jaffer Quartamaine juu ya uendelezwaji wa mradi wa Nyanzaga unaomilikiwa kwa ubia kati ya

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TANTRADE YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Na Sophia Kingimali. Meneja wa ukuzaji biashara kutoka Mamlaka ya Biashara (TANTRADE) Mohamed Tajiri ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili,

John Bukuku By John Bukuku