Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

HUYU MWANAMKE BAADA YA KUMTAFUTIA KAZI KANIACHA ILA!!!!

Jina langu ni Mkoi kutokea Manyara nchini Tanzania, ni kijana wa miaka 25, nilikuwa na mahusiano na msichana ambaye nilimpenda sana na kila kitu nilikuwa nampa ila nikaona hiyo haitoshi. Nikamtafutia kazi sheli, akawa analipwa na mshahara wake mzuri tu, cha kusikitisha hiyo ndio ikawa chanzo cha kunisahau mimi kama mpenzi wake baada ya kuona wengine wazuri huko nje. Visa

John Bukuku By John Bukuku

RC CHALAMILA ATAKA BEACH YENYE HADHI YA KIMATAIFA

-Akerwa na mazingira ya uchafu Coco beach -Asema Coco beach ni ya wanyonge akemea uendelezaji usio na tija katika fukwe hiyo ya Coco beach Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila katika muendelezo wa ziara yake leo April 18,2024 amatembelea fukwe ya Coco beach Wilaya ya Kinondoni Jijini humo. Akiwa katika eneo la fukwe ya Coco RC

John Bukuku By John Bukuku

TAWA YAFANYA MSAKO WA MAMBA TISHIO KWA MAISHA YA BINADAMU RUFIJI

Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko. Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja akizungumza na waandishi wa habari katika mji mdogo wa utete wilayani

John Bukuku By John Bukuku

RC CHALAMILA AKAGUA UJENZI WA BARABARA KM 23.3 YA MWENDOKASI GONGO LA MBOTO

*Asema Sijaridhishwa na kasi ya Mkandarasi ujenzi wa barabara hiyo amtaka kufanya kazi usiku na mchana *Asistiza usafi wa mazingira pamoja kupanda miti na bustani ili kupendezesha jiji. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 18,2024 amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa BRT awamu ya tatu kutoka katikati ya Jiji hadi Gongo la

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MAVUNDE AITAKA STAMICO KUANZISHA MIGODI MIKUBWA YA MADINI

●Awataka kufanya utafiti wa kina ili kuchochea uwekezaji katika sekta ya madini ●Awataka kuibua maeneo mapya yenye rasilimali madini ●Awataka kuwahudumia kwa ukaribu wachimbaji wadogo Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuweka mikakati madhubuti ya kukuza uwekwzaji wa shirika na kulifanya kuwa kati ya mashirikia makubwa katika sekta ya madini kwa bara la Afrika.

John Bukuku By John Bukuku

CCM YAKEMEA WAKANDARASI WA MIRADI KUONGEZEWA MUDA.

Meneja wa TPA Kanda ya zIwa, Erasto Lugenge (kushoto), leo akitoa taarifa ya Mradi wa Uboreshaji na Upanuzi wa Bandari ya Mwanza Kaskazini kwa Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Nyamagana (kulia) walipotembelea mradi huo. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana,Amina Makilagi (kushoto),akitoa ufafanuzi kuhusu Mradi wa Uboreshaji na Upanuzi wa Bandari ya Mwanza Kaskazini kwa Wajumbe wa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara