- Advertisement -
Na Victor Masangu,Vigwaza Mtu mmoja ambaye ni shabiki wa Klabu ya Simba anahofiwa kufariki dunia katika ajali ya gari aina ya coaster iliyokuwa imebeba mashabiki wa Simba ikitokea Mbeya kupata ajali ya kugongana na Lori leo alfajiri majira katika eneo la Vigwaza mizani Mkoa wa Pwani. Taarifa za awali ambazo zimethibitisha na Mwenyekiti wa kijiji cha Vigwaza zinaeleza kuwa gari…
Jina langu ni Abedi, natokea Mtwara, Tanzania, nikiwa mwaka wa tatu chuoni IFM, Dar es Salaam nilimpokea rafiki yangu ambaye alitoka kijijini kwa ajili ya kujiunga mwaka wa kwanza hapo hapo chuoni. Kwa kweli nilikua nimejipanga vizuri, nilikua nikiishi kama muajiriwa kwa vitu nilivyokua navyo pale ghetto, kwa kifupi mimi na rafiki yangu tuliishi vizuri sana mwaka huo. Baada ya…
Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mh. Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi kwa baadhi ya wafanyabiashara wasiowaadilifu. Mkuu huyo wa Wilaya amebainisha hayo katika kikao cha Kamati ya Ushauri wa Kodi cha Wilaya na kusisitiza kuwa mfanyabiashara yeyote atakaye bainika…
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani. WATU wawili wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa ,katika ajali iliyohusisha magari matatu likiweno bus kampuni la abiria New Force,Sauli na lori la mafuta kuteketea kwa moto alfajir ya Machi 28 eneo la Ruvu, Mlandizi ,Mkoani Pwani. Kati ya watano waliojeruhiwa ni pamoja na askari wawili wa Jeshi la zima moto ambao wamejeruhiwa wakati wakiwa watatekeleza…
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta (wanne kulia), akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Sherif Abdelhamid mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyohusisha mashirikiano katika sekta ya miundombinu ya barabara na madaraja yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam. Balozi wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Sherif Abdelhamid (kulia) akisisitiza jambo kwenye…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza mkutano wa Benki ya Dunia wa Jukwaa la Tatu la Kanda ya Afrika Kundi la Kwanza kwa nchi za Kipato cha Kati lililolenga kujadili namna mashirika ya fedha ya kimataifa yanavyoweza kuongeza fedha kuzisaidia nchi za kipato cha kati kufikia maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii. Mkutao huo umefanyika kwa njia…
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Patience Ntwina (kushoto) akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi Mtendaji wa MISA TAN Bi. Elizabeth Riziki baada ya kutia saini mkataba wa ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili. Mwenyekiti wa bodi na Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mhe. Amina Talib Ali akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji…
Confirmed
0
Death
0
Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mh. Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mianya ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Bw. Charles…
Sign in to your account